• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kikosi cha raga cha Kenya chaendelea na mazoezi kusubiri mechi wikendi Uingereza.

    (GMT+08:00) 2015-05-07 14:35:49
    Timu ya Kenya ya raga ya wachezaji iko nchini Uingereza ambapo inaendelea na mazoezi ikisubiri michuano ya HSBC world sevens series itakayochezwa miji ya Glascow na London wikendi hii.

    Kikosi kilichoko Uingereza kinaongozwa na nahodha Collins Injera, na wacheaji Humphrey Kayange Daniel Sikuta - Mwamba Dennis Ombachi Michael Wanjala - Pan Africa Strathmore Leos Tony Opondo - Billy Odhiambo - Oscar Ayodi - Bush Mwale - Augustine Lugonzo na Biko Adema -

    Mkufunzi Felix Ochieng amefanya mabadiliko kwenye kikosi chake kinachoshikilia nafasi ya kumi na tatu kwenye jedwali hilo kufuatia msururu wa matokeo duni.

    Jumamosi kenya natarajiwa kuchuana na New Zealand na Afrika kusini na baadaye kucheza dhidi ya Samoa

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako