• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Murray ashinda, Federer atupwa nje

    (GMT+08:00) 2015-05-08 14:18:47
    Mcheza tenesi Andy Murray ameibuka na ushindi dhidi ya philipp KOLSHREIBA (kohlschreiber) katika michuano ya wazi ya madrid. Murray ameshinda kwa seti 6-4 3-6 6-0 mchezo uliokua na upinzania mkali kwa muda wote. kwa ushindi huu nyota huyu wa tenesi atachuana na marcel GRANOLLERS wa hispania siku ya jumanne. huku roger FEDERER akitupwa nje ya michuano hiyo kwa kuchapwa na nick KYRGIOS kwa seti 7-6 (7-2) 6-7 (7-5) 6-7 (14-12) rafael nadal nae alimchakaza steve johnson wa marekani kwa 6-4 6-3..
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako