• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Michuano ya wavu Afrika yaanza leo mjini mombasa.

    (GMT+08:00) 2015-05-08 14:19:15
    Michuano ya Afrika ya mpira wa wavu wa ufukuweni kwa wanawake yanaanza leo katika Pwani ya Mombasa. Nchi mbalimbali za Afrika ikiwemo Tanzania, Burundi, Egypt, Kenya, Rwanda, Sudan, na Uganda zinategemewa kushiriki kugombania nafasi nne kwa ajili ya kufuzu kucheza fainali za Michezo ya Afrika( All Africa Games) itakayofanyika nchini Congo Brazzaville kuanzia Septemba 4-19 mwaka huu. Michuano hiyo ya wanawake inakuja miezi kadhaa baada ya ile ya wanaume iliyofanyika Dar es Salaam mwezi April ambapo timu za Rwanda ( walioibuka mabingwa), Burundi, Kenya na Misri kufuzu michezo ya Congo Brazzaville.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako