• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Timu ya mpira wa pete kujifua Zanzibar

    (GMT+08:00) 2015-05-08 14:19:44
    Timu ya taifa ya mpira wa pete ya Tanzania itaweka kambi visiwani Zanzibar ili kujiandaa na michuano ya Afrika itakayofanyika nchini Namibia tarehe 28 mwezi ujao. Kiongozi wa chama cha mchezo huo Tanzania Bara (Chaneta), Anna Kibira amesema kuwa watachagua timu kwa kushirikiana na wenzao wa Zanzibar (Chaneza) kwa ajili ya kuanza kambi hapo Mei 17 visiwani Zanzibar. Awali, Zambia iliteuliwa kuwa mweyeji wa mashindano hayo lakini kutokana na uhaba wa fedha wakiomba Tanzania kuwa mwenyeji wa michuano hiyo na baadae kuhamishiwa chini Namibia.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako