• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Vijana saba kutoka Tanzania wachaguliwa kujiunga na Aspire Africa

    (GMT+08:00) 2015-05-14 16:18:27
    Vijana saba kutoka Morogoro wamechanguliwa katika hatua za awali za kujiunga na kituo cha Aspire Africa katika zoezi linalofanywa na wavumbua vipaji kutoka klabu ya Barcelona ya Hispania. Mratibu wa zoezi hilo kwa Tanzania, Ramadhan Mambosasa amesema, vijana wanaonyesha uwezo wa hali ya juu katika kusakata kandanda. Jumla ya vituo ishirini vinashiriki katika zoezi hilo la kusaka vipaji kwa wachezaji chipukizi, Tanzania mpaka sasa inawachezaji watatu katika kituo cha Aspire Africa kilichopo nchini Senegal.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako