• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nchi zilizo kwenye Ukanda mmoja na Njia moja zatoa mapendekezo sita kuhusu ushirikiano wa forodha

    (GMT+08:00) 2015-05-28 19:49:03

    Kongamano la forodha za nchi zilizo kwenye Ukanda wa kiuchumi wa njia ya hariri na njia ya hariri ya baharini ya karne 21 limeanza leo huko Xi'an, katikati ya China.

    Wakuu na wajumbe wa forodha kutoka nchi 70 zilizo kwenye Ukanda Mmoja na Njia Moja zimetoa mapendekezo sita kuhusu kuimarisha ushirikiano wa forodha, ili kurahisisha biashara, na kusukuma mbele maendeleo ya uchumi wa kanda hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako