• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa fedha wa Ugiriki ajiuzulu baada ya kura ya maoni kufanyika nchini humo

    (GMT+08:00) 2015-07-06 17:01:59

    Waziri wa fedha wa Ugiriki Yanis Varoufakis ametangaza kujiuzulu hii leo, baada ya wananchi kupiga kura ya Hapana kuhusu mswada wa kufanya mageuzi kwa ajili ya msaada uliotolewa na wakopeshaji.

    Amesema uamuzi wake umetokana na mtazamo wa upande fulani wa nchi zinazotumia Euro, na baadhi ya washiriki kutokana na kutokuwepo kwake kwenye mikutano kadhaa.

    Amesema waziri mkuu atakuwa na msaada zaidi katika kufikia makubaliano.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako