• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umuhimu wa reli ya TAZARA katika uhusiano kati ya China na Afrika

    (GMT+08:00) 2015-07-30 15:08:39

    Mwaka huu ni mwaka wa maadhimisho ya miaka 45 tangu reli ya TAZARA ianze kufanya kazi. Hivi karibuni kitabu maalum kuhusu reli ya TAZARA kilizinduliwa kwenye hafla iliyohudhuriwa na maofisa wa China na wengine kutoka Tanzania na Zambia. Yaliyomo kwenye kitabu hicho yameelezwa na washiriki wa ujenzi ambao kwa sasa ni wazee. Katika kipindi hiki cha leo tutawafahamisha hali ilikuwaje na kitabu chenyewe hasa kinaeleza nini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako