• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China aeleza kuunga mkono maandalizi ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya mwaka 2022

    (GMT+08:00) 2015-07-31 18:36:29

    Rais Xi Jinping wa China ameeleza kuunga mkono maandalizi ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya mwaka 2022, na kuahidi kuwa watu wa China wataipa dunia Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi iliyo ya kuvutia, na ya kipekee.

    Naye naibu waziri mkuu wa China Liu Yandong amesema serikali ya China itatoa uhakikisho wa fedha na ulinzi kwa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako