• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mwanariadha wa Kenya ashinda medani ya dhahabu katika shindano la kurusha tufe

    (GMT+08:00) 2015-08-26 21:01:51

    Mwanariadha wa Kenya Julius Yego ameshinda medali ya dhahabu katika shindano la kurusha tufe kwa kurusha umbali wa mita 92.72 katika mashindano ya riadha ya kimataifa yanayofanyika hapa Beijing.

    Umbali huo ni mkubwa zaidi katika historia tangu ule uliowekwa na Jan Zelezny wa mita 92.80 mwaka 2001.

    Mwanariadha kutoka Misri Abdelrahman El Sayed alichukua medali ya fedha na Tero Pitkamaki alipata medali ya shaba kwenye shindano hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako