• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la angani la Iraq lawaua wakuu wa kundi la IS

    (GMT+08:00) 2015-08-31 10:56:43

    Jeshi la Iraq jana lilitoa taarifa likisema jeshi lake la angani lilishambulia kituo cha siri cha kundi la IS mkoani Anbar, magharibi mwa nchi hiyo na kuwaua viongozi watano wa kundi hilo waliopanga shambulizi lililosababisha vifo vya maofisa wawili wa jeshi la Iraq.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako