• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa utalii wa afya kufanyika Dubai

    (GMT+08:00) 2015-08-31 18:25:39

    Mkutano 10 wa utalii wa afya (WHTC) utafanyika mwezi Septemba mjini Dubai na kuhudhuriwa na wawakilishi kutoka Shirikisho la Utalii la Nchi za Kiarabu, mawaziri wa afya wa baraza la ushirikiano la nchi za Gulf (GCC), na washiriki kutoka nchi zaidi ya 80 za Ghuba ya Uarabuni, Asia, Afrika na Ulaya.

    Mwenyekiti wa Shirikisho la Utalii la nhi za Kiarabu Bw. Bandar bin Fahd AL Fehaid amesema, utalii wa afya utakuwa moja ya sekta inayoendelea kwa kasi duniani, ambayo kimataifa kwa mwaka inagharimu zaidi ya dola za kimarekani bilioni 100, na bilioni 27 kati ya hizo zinatoka nchi za Kiarabu.

    Maliasili, vifaa vya afya, na rasilimali ya nguvukazi ni sababu kuu ya kukua kwa kasi utalii wa afya katika nchi za Kiarabu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako