• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Hadhi na mchango wa mapambano ya wachina dhidi ya uvamizi wa Japan katika vita dhidi ya ufashisti duniani

    (GMT+08:00) 2015-09-03 21:16:00

    Leo ni siku ya maadhimisho ya miaka 70 tangu China ipate ushindi kwenye vita ya kupambana na wavamizi wajapan. Katika kuadhimisha ushindi huo, China leo imefanya gwaride kubwa leo asubuhi hapa Beijing. Ushindi huo msikilizaji ulipatikana baada ya mapambano makali yaliyodumu kwa miaka 14, na kusababisha hasara kubwa ya mali na maisha ya watu, wengi wakiwa raia wa kawaida. Maadhimisho hayo yanalenga kuwakumbusha wachina wote wasisahau historia na janga lililoletwa na vita, pia yanaonesha moyo wa wachina kuthamini na kudumisha amani.

    Kwa uundani zaidi hebu sikilize kipindi chetu

     


    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako