• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Utaratibu wa Elimu wa China

    (GMT+08:00) 2015-10-01 20:55:23

    Wiki hii msikilizaji shule zimefunguliwa hapa China, wanafunzi wa shule za msingi, sekondari na hata wa vyuo wameanza masomo yao. Kama tulivyowahi kukufahamisha katika siku za nyuma, utaratibu wa elimu hapa China ni tofauti na utaratibu wa elimu katika nchi zetu. Leo katika kipindi chetu tunazungumzia jinsi tofauti hizo zinavyoonekana katika ufundishaji na hata katika uendeshaji wa shule kwa ujumla. Hebu sikilize kipindi chetu.

     


    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako