Chama cha kikomunisti cha China CPC kimesema vita dhidi ya ufisadi haitalegezwa au kwisha hivi karibuni. Kwenye mkutano wake wa 18 wa kamati kuu chama hicho kinasema lazima sheria zifuatwe, ili kuhimiza maendeleo ya kiuchumi na kijamii.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |