• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Juhudi za elimu katika kupunguza umaskini

    (GMT+08:00) 2015-11-05 09:06:01

    Kuna msemo wa Kiswahili unaosema "elimu ni ufunguo wa maisha", na huu ndio kwa miaka mingi umekuwa ukitumika kuhimiza watu kuhusu elimu. Hapa China pia kuna msemo kama huo unaosema "ujuzi unabadilisha hatma ya mtu". Katika kipindi hiki tutaangalia hatua halisi na jinsi zinavyoweza kupunguza umaskini, tutawasikia wataalamu wa hapa China wanasema, na pia tutapata pia maoni ya baadhi ya wasikilizaji wetu kuhusu uhusiano kati ya elimu na juhudi za kupunguza umaskini. Hebu sikilize kipindi chetu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako