• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yaanza siku ya manunuzi kwenye mtandao wa internet na kuweka rekodi mpya

    (GMT+08:00) 2015-11-11 18:10:28

    Kampuni ya biashara kwenye mtandao wa internet ya China Alibaba, imeweka rekodi mpya ya kupata mapato ya dola bilioni 1.57 ndani ya dakika 12 na sekunde 28, na kuvunja rekodi iliyopita ya mauzo ya siku ya makapera. Mwaka jana mauzo ya siku ya makapera yalifikia kiwango hicho ndani ya dakika 30.

    Siku ya makapera nchini China iliyoanza kwa utani kwenye miaka 1990, sasa ni siku inayotumiwa kufanya manunuzi kwenye mtandao wa internet. Na wafanyabiashara hutumia siku hii, kutoa punguzo la hadi kufikia asilimia 50 kwa bidhaa zinazouzwa kwenye baadhi ya tovuti.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako