• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Siku ya manunuzi kwenye mtandao wa Internet

    (GMT+08:00) 2015-11-12 15:20:09

    Jana tarehe 11 mwezi wa 11 ilikuwa siku ya manunuzi kwenye mtandao wa Internet. Kwenye tovuti nyingi za manunuzi, bei za bidhaa zilishuka kwa kiasi kikubwa, hata punguzo la asilimia 50 na zaidi. Wachina wengi wamezoea kununua vitu kwenye mtandao wa Internet. Takwimu zilizotolewa na idara ya takwimu ya China zinaonyesha kuwa, mwaka jana thamani ya biashara kwenye mtandao wa Internet ya China ilifikia dola za kimarekani bilioni 2.6, ambayo ni ongezeko la asilimia 60 kuliko mwaka juzi. Vilevile, manunuzi kwenye mtandao wa Internet yameanza katika Afrika ya Mashariki, lakini bado yako kwenye hatua ya mwanzo sana. Kwenye kipindi hiki, tutaangalia hali ikoje nchini China na Afrika ya Mashari. Hebu sikilize kipindi chetu.

     


    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako