• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yakabiliana changamoto za mabadiliko ya muundo wa idadi ya watu

    (GMT+08:00) 2015-11-19 07:44:48

    Katika siku za hivi karibuni, serikali ya CHina ilitangaza kufanya marekebisho ya sera ya uzazi wa mpango, inayowataka wanandoa kuwa na mtoto mmoja. Kutokana na mabadiliko hayo, wanandoa wachina sasa wanaruhusiwa kuwa na watoto wawili.kufanyiwa marekebisho kwa sera hiyo, kunatokana na mabadiliko yaliyotokea kwenye jamii ya China, yaliyowalazimu watunga sera kufanya marekebisho. pamoja na kwamba China ni nchi kubwa na yenye idadi kubwa ya watu, kumekuwa na dalili za kuzeeka kwa jamii na kupungua kwa idadi ya watu wenye umri wa kufanya kazi. Katika kipindi hiki tutazungumzia changamoto zinazoletwa na muundo wa idadi ya watu nchini China na jinsi serikali na watu wa CHina wanavyofanya juhudi kukabiliana na changamoto hizo.

     


    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako