Ripoti iliyotolewa na taasisi ya sayansi ya China inaonesha kuwa mfumo wa ikolojia katika uwanda wa juu wa Tibet unaendelea kuwa mzuri.
Hitimisho hilo linapatikana baada ya kujumuisha tathmini ya mfumo wa ikolojia katika uwanda huo kati ya mwaka 2000 na 2010.
Pande zilizoangaliwa ni pamoja na hali ya jewa, maji, mazingria ya ardhini, athari ya shughuli za binadamu, maafa na nyinginezo.
Ripti hiyo inasema katika nusu karne iliyopita, kwa wastani, joto la uwanja huo linapanda nyuzi 0.32 kwa kila miaka 10, kasi ambayo ni ya mara mbili ya ile ya wastani ya dunia nzima.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |