Vigezo hivi vitaanza kutekelezwa tarahe mosi Juni mwakani.
Naibu mkurugenzi mkuu wa kamati ya vigezo ya taifa ya China Bw. Yin Minghan amesema vigezo hivyo vipya vinaweka bayana njia ya kuhesabu kiasi cha utoaji wa gesi chafu katika idara za uzalishaji kiwandani na hata idara za ugavi kama vile mabafu na mabwalo.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |