• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yawatuza waliotoa mchango katika mapambano dhidi ya Ebola

    (GMT+08:00) 2015-11-26 09:42:01

    China imefanya sherehe ya kuwatuza watu na makundi mbalimbali kwa mchango wao katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ebola nchini humo na katika nchi za Afrika. Rais Xi Jinping wa China alituma barua akipongeza moyo wa dhati walio nao wafanyakazi wa China waliotoa msaada wa matibabu kwa nchi zilizoathiriwa na Ebola na kuzisaidia kudhibiti maambukizi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako