• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bunge la Ulaya latoa wito wa kuwajumuisha watoto wakimbizi kwenye mifumo ya kitaifa ya elimu ya nchi za Umoja wa Ulaya

    (GMT+08:00) 2015-11-27 10:02:50

    Bunge la Ulaya limetaka nchi za Umoja wa Ulaya kuwajumuisha watoto wakimbizi kwenye mifumo yao ya kitaifa ya elimu, na kusema kufanya hivyo kutasaidia kupunguza hatari ya vijana kujiunga na makundi yenye msimamo mkali. Pia limetoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kutoa kipaumbele kwa elimu inaposhughulikia misukosuko ya wakimbizi kupitia mipango inayolenga kutoa msaada wa kisaikolojia kwa watoto hao na kuwahimiza kujifunza lugha za nchi zinazowapokea ili kuhakikisha kiwango cha juu cha maingiliano.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako