Tarehe 1 Desemba ni siku ya UKIMWI duniani, serikali ya China ilitoa takwimu zinaonesha kuwa kwa sasa hapa China kuna watu laki 5.75 wanaoishi na virusi vya UKIMWI. Idadi hii ni sehemu ndogo sana ya idadi ya jumla ya watu zaidi ya bilioni 1.3 wa China. Na kwa kipindi cha miaka 30 iliyopita kiwango hicho kimeendelea kudhibitiwa bila kuwa na ongezeko kubwa. Leo kwenye kipindi hiki tutazungumzia China inafanya juhudi gani kupambana na ugonjwa huo.
20151203 China Machoni Mwetu
|
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |