• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mvuto wa marathon nchini China

    (GMT+08:00) 2015-12-10 16:35:41

    Mchezo wa mbio za marathon ambao kwa sasa hapa China unaonekana kushika kasi, na kuendelea kuwa moja ya michezo inayoanza kuzoeleka miongoni mwa wachina.Tukiangalia takwimu za mwaka huu tunaweza kuona kuwa idadi ya mashindano yaliyosajiliwa katika shirikisho la riadha la China ilifikia 130, ikilinganishwa na idadi hiyo ya mwaka jana ni 51. Tunaweza kusema kila wikiendi hapana China mashindano mawili ya marathon yanafanyika. Lakini siku ambayo kulikuwa na mashindano mengi zaidi ni tarehe 18 Oktoba, ambapo kulikuwa na mashindano 11. Kwenye Kipindi hiki tunafanya mahojiano na mwandaaji wa mchezo wa marathon na mshiriki wa marathon hapa China. Hebu sikilize kipindi chetu.

     


    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako