• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Iran akaribisha jumuiya ya kimataifa kuondoa vikwazo dhidi ya Iran

    (GMT+08:00) 2016-01-17 17:11:28

    Rais Hassan Rouhani wa Iran leo amekaribisha jumuiya ya kimataifa kuondoa vikwazo dhidi ya Iran, na kusema hatua hiyo ni ukurasa mpya wa maendeleo ya uhusiano kati ya Iran na Jumuiya ya kimataifa.

    Habari kutoka Shirika la habari la Iran IRNA zilimnukuu rais Rouhani akisema kufikiwa kwa makubaliano kuhusu suala la nyuklia la Iran ni hatua muhimu kwa maendeleo ya uchumi wa Iran.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako