• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mapato ya kodi nchini China yafikia yuan trilioni 11 mwaka 2015

    (GMT+08:00) 2016-01-18 18:13:38

    Idara kuu ya ushuru ya China imesema, mapato ya kodi nchini humo kwa mwaka 2015 yamefikia dola za kimarekani trilioni 1.67, ambayo ni ongezeko la asilimia 6.6 kuliko mwaka 2014.

    Takwimu zinaonyesha kuwa, mwaka 2015 sekta ya huduma iliendelezwa vizuri, na kodi kwenye sekta hiyo imechukua asilimia 54.8 ya kodi yote na kuongezeka kwa asilimia 1.9 kuliko mwaka uliopita.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako