• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China na nchi za Mashariki ya Kati zinapaswa kuimarisha urafiki wa jadi katika hali mpya

    (GMT+08:00) 2016-01-19 18:04:05

    Mjumbe maalumu wa China anayeshughulikia masuala ya Mashariki ya Kati Bw. Gong XiaoSheng amesema, ziara ya rais Xi Jinping wa China katika Mashariki ya Kati ina umuhimu mkubwa wa kuendeleza uhusiano kati ya China na nchi za kiarabu.

    Bw. Gong Xiaosheng amesema, maendeleo ya uchumi wa China na hadhi ya China katika dunia inayoongezeka vinaleta mustakabali mpya kwa maendeleo ya uhusiano kati ya China na nchi za Mashariki ya Kati. Ingawa nchi hizo zinakabiliwa na migogoro, lakini zina nia ya kushirikiana na China, pia biashara kati ya pande hizo mbili zinaongezeka. Amesema kuwa China na nchi za kiarabu zina mustakabali mzuri wa ushirikiano wa kunufaishana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako