• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping aandika makala kwenye gazeti la Iran

    (GMT+08:00) 2016-01-21 19:17:57

    Rais Xi Jinping wa China leo ameandika makala ya "Kujenga mustakabali mzuri wa uhusiano kati ya China na Iran" kwenye gazeti la Iran.

    Katika makala hiyo, rais Xi amesema, mwaka 2013 alitoa pendekezo la kujenga "ukanda mmoja na njia moja", ambalo lilipokelewa vizuri na Iran. Amesema ushirikiano kati ya China na Iran chini ya "ukanda mmoja na njia moja" unatakiwa kuongeza uaminifu wa kisiasa ili kuimarisha msingi wa kushirikiana, kunufaishana na kujiendeleza kwa pamoja, pia kuhimiza mawasiliano na kupanua ushirikiano, kushikilia kufungua mlango, na kuhamasisha mawasiliano ya kitamaduni.

    Rais Xi pia amesema, China inapenda kushirikiana na Iran kurithi moyo wa njia ya hariri na kujenga mustakabali mzuri zaidi wa uhusiano kati ya nchi hizo mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako