• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kituo cha habari cha mikutano miwili ya China kuzinduliwa tarehe 27 mwezi huu

    (GMT+08:00) 2016-02-01 18:58:43

    Mkutano wa 4 wa bunge la 12 la umma la China na mkutano wa 4 wa Baraza la 12 la mashauriano ya kisiasa la China itafanyika tarehe 3 na tarehe 5 mwezi ujao hapa Beijing. Ofisi za mikutano hiyo miwili zimesema, waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi wanakaribishwa kufanya mahojiano kwenye mikutano hiyo.

    Waandishi wanaotaka kufanya mahojiano wanapaswa kutoa maombi kwanza, na muda wa mwisho wa kuwasilisha maombi hayo ni tarehe 25 mwezi huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako