• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maoni yako kuhusu mikutano miwili mikubwa ya China ya mwaka 2015

    (GMT+08:00) 2016-02-06 09:16:13

    Mkutano wa 4 wa Bunge la 12 la umma la China na Mkutano wa 4 wa Baraza la 12 la mashauriano ya kisiasa la China inatazamiwa kufanyika mwezi Machi, 2016. Ili kutuambia maoni yako kuhusu mikutano hiyo miwili, tafadhali jibu maswali yafuatayo, na kutumia majibu yako kwenye anwani hii: kiswahili@cri.com.cn

    A. Taarifa ya mjaza fomu

    Umri: (a) chini ya miaka 35 (b) kati ya miaka 35 na 50 (c) zaidi ya miaka 50

    Elimu:

    a. Sekondari ya juu au chini

    b. Shahada ya kwanza

    c. Shahada ya pili

    d. Shahada ya tatu

    Barua pepe:

    Akaunti yako kwenye Facebook au vyombo vingine:

    B. Maswali (unaweza kuchagua jibu zaidi ya moja kwa maswali yote isipokuwa swali la tisa)

    1. Katika mikutano hii miwili ya mwaka huu unataka kufahamu zaidi mambo gani kupitia CRI?

    a. mpango wa 13 wa miaka mitano ijayo

    b. mapambano dhidi ya ufisadi

    c. utawala wa nchi kwa mujibu wa sheria

    d. kuruhusu kuzaa mtoto wa pili bila ya masharti yoyote

    e. uchumi wa China na ushirikiano kati yake na nchi za nje

    f. soko la hisa la China

    g. bidhaa zinazotengenezwa China

    h.pengo kati ya matajiri na maskini

    i. uhifadhi wa mazingira

    j. uhaba wa nafasi za ajira

    k. mageuzi ya elimu

    l. huduma za kijamii

    m. bima ya uzeeni

    n. usimamizi wa mawasiliano barabarani

    o. usalama wa chakula na dawa

    p. kiwango cha bei ya bidhaa

    q. maendeleo ya kilimo

    r. dini na makabila

    s. utamaduni wa mtandao wa Internet na usimamizi wake

    t. uhusiano kati ya China na nchi za nje

    2. Una maoni gani kuhusu utawala wa rais Xi Jinping nchini China?

    a. kuimarisha mageuzi katika sekta mbalimbali, na kuendeleza kutimiza ndoto ya China

    b. kuhakikisha mfumo wenye ufanisi wa uongozi unaolingana na hali ya siasa ya China

    c. kuinua kiwango cha utawala wa kisasa

    d. kupambana na ufisadi, na kuadhibisha maofisa wa serikali na chama waliokutwa na makosa ya ufisadi

    e. kushiriki kwenye usimamizi wa dunia, na kujenga aina mpya ya uhusiano kati ya nchi mbalimbali

    3. katika mwaka 2016, serikali ya China inaendelea kupambana vikali na ufisadi, unaona mapambano dhidi ya ufisadi yameleta athari gani kwa China?

    a. kulinda usawa na haki

    b. kuwafanya raia wawe na imani, kuimarisha uaminifu kwa serikali

    c. kusukuma mbele mchakato wa kuhimiza utawala wa kisheria nchini China

    d. kuweka msingi mzuri kwa China kuimarisha mageuzi

    4. kwa upande wako sura ya uchumi wa China ikoje?

    a. uchumi wa China bado ni mojawapo ya injini za uchumi wa dunia, mustakabali wake ni mzuri

    b. kasi ya ongezeko la uchumi wa China bado iko mbele duniani, muundo wa uchumi wake umeboreshwa zaidi

    c. uchumi wa China unakabiliwa na matatizo mengi, lakini ongezeko lake bado liko kwenye kiwango mwafaka

    d. serikali ya nchi yako na raia wa nchi yako wanafuatilia ushirikiano kati yao na China

    e. kuona manufaa yaliyoletwa na maendeleo ya uchumi wa China

    5. Una maoni gani kuhusu mkakati wa "Ukanda mmoja na Njia moja" uliotolewa na China?

    a. kujenga jumuiya ya kuendelezana kwa pamoja na kunufaishana

    b. kuvumbua mfumo wa ushirikiano wa kimataifa

    c. kunufaishana maendeleo ya China, kuhimiza nchi zilizoko kwenye njia hii ziendeleze uchumi wao

    d. kuhimiza ushirikiano na mawasiliano kati ya China na nchi zilizoko kwenye njia hii

    e. kusukuma mbele mawasiliano kati ya nchi zilizoko kwenye njia hii

    6. Una maoni gani kuhusu China kutekeleza sera ya kuruhusu kuzaa mtoto wa pili bila ya masharti yoyote?

    a. kuboresha muundo wa familia

    b. kuboresha muundo wa watu wa China

    c. kuongeza nguvu kazi

    d. idadi ya watu wa China inaongezeka kwa kasi kubwa

    7. unaona njia gani itasaidia kupunguza uchafuzi wa hewa, na kuboresha mazingira?

    a. kupunguza matumizi ya magari binafsi

    b. kuendeleza zaidi vyombo vya usafiri wa umma

    c. kudhibiti uwekezaji kwenye miradi inayosababisha uchafuzi wa mazingira

    d. kuimarisha usimamizi na menejimenti kwa viwanda vinavyosababisha uchafuzi wa mazingira

    e. kuongeza uelewa wa jamii juu ya masuala ya kuhifadhi mazingira kama suala la uchafuzi wa hewa

    8. unapenda kupata habari kuhusu mikutano miwili ya China kupitia vyombo gani vya CRI?

    a. redio

    b. tovuti

    c. akaunti ya CRI kwenye mtandao wa kijamii

    d. APP kwa simu ya mkononi

    e. chombo kingine cha upande wa tatu

    C.

    1. Una maoni gani kuhusu maendeleo ya uchumi wa China na athari zinazotokana na maendeleo hayo kwa China na dunia?

    2. Serikali ya China imeahidi kuwa, hadi kufikia mwaka 2020 itaondoa tatizo la umaskini na watu wote maskini watakuwa na maisha bora. una maoni gani kuhusu juhudi za China katika kupunguza umaskini na kuboresha maisha ya wananchi?

    3. Una mtazamo gani kuhusu mambo ya diplomasia ya China katika mwaka mmoja uliopita?

    Tunakushukuru kwa ushirikiano wako! Tafadhali andika masuala mengine unayofuatilia kuhusu mikutano miwili ya mwaka 2016 ya China na ushauri wako.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako