• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China atuma salamu za rambirambi kwa watu wa Taiwan

    (GMT+08:00) 2016-02-08 19:00:32
    Rais Xi Jinping wa China ametuma salamu za rambirambi kwa watu wa Taiwan walioathiriwa na tetemeko la ardhi.

    Akizungumzia tetemeko hilo lenye nguvu ya 6.7 kwenye kipimo cha Richter lililotokea Jumamosi kusini mwa kisiwa hicho, Rais Xi amesema tetemeko hilo limesababisha hasara kubwa, na serikali inalifuatilia sana. Amesema watu wa China bara na wa Taiwan ni wa familia moja, na China bara iko tayari kutoa misaada ya kila aina kwa Taiwan.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako