• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 26 wajeruhiwa Bujumbura kufuatia shambulizi la guruneti

    (GMT+08:00) 2016-02-12 20:18:37

    Takriban watu 26 wamejeruhiwa baada ya washambuliaji wasiojulikana kurusha guruneti la kwenye kundi la watu katikati ya mji mwa Bujumbura.

    Msemaji wa polisi ya Burundi Pierre Nkurikiye amesema watu 9 kati ya waliojeruhiwa wako katika hali mahututi, na washambuliaji waliokuwa kwenye pikipiki walirusha guruneti lililokuwa kwenye mfuko wa plastiki na kukimbia. Tukio hilo limetokea karibu na kituo cha polisi mtaani Buyenzi, lakini mashuhuda wamesema inaonekana kituo hicho hakikulengwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako