• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wawekezaji wa China watupia macho uwekezaji kwenye sekta ya maji

    (GMT+08:00) 2016-02-23 20:24:40
    Makampuni kadhaa ya China yanatupia macho kuwekeza kwenye sekta ya maji nchini Kenya, baada ya Kenya kuboresha sera zake na kufanya mageuzi kwenye sekta hiyo.

    Wakiongea kwenye mkutano wa 18 wa shirikisho la maji barani Afrika unaoendelea huko Nairobi, wakuu wa makampuni ya China wameonyesha matumaini kuwa la soko la teknolojia za maji nchini Kenya litaendelea kukua.

    Bw Dick Gong ambaye ni mkuu wa kampuni ya kemikali ya Dongying amesema Kenya ni sehemu mpya ya uwekezaji kwenye eneo la kushughulikia maji.

    Makampuni manne ya China yanaonesha bidhaa zao na teknolojia za kushughulikia maji katika mkutano huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako