• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Hafla ya kwanza ya kiapo cha utii wa katiba ya China yafanyika

    (GMT+08:00) 2016-02-27 18:41:23

    Kamati ya kudumu ya Bunge la umma la China jana hapa Beijing ilifanya halfa ya kwanza ya kiapo cha utii wa katiba, na spika wa bunge la umma la China Bw. Zhang Dejiang ameendesha hafla hiyo.

    Maofisa 6 walioteuliwa kwenye mkutano wa 19 wa kamati ya kudumu ya bunge la umma la China uliofungwa hivi karibuni, waliapishwa mbele ya katiba ya Jamhuri ya watu wa China, kwa mujibu wa uamuzi uliotolewa na kamati hiyo kuhusu kutekeleza utaratibu wa kiapo cha utii wa katiba kuanzia tarehe 1 Januari mwaka huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako