• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mahakama kuu ya China yatoa waraka kuhusu mageuzi ya utekelezaji wa sheria mahakamani

    (GMT+08:00) 2016-02-29 19:09:35

    Mahakama kuu ya China leo imetoa waraka kuhusu mageuzi ya utekelezaji wa sheria kwenye mahakama nchini China, na kueleza maendeleo na ufanisi wa mageuzi hayo tangu mkutano wa 18 wa chama cha kikomunisti cha China ulipofanyika.

    Waraka huo una sehemu 9, zikiwemo mfumo wa mahakama nchini China na mchakato wa mageuzi, kuhakikisha mahakama zinatoa hukumu za haki kwa mujibu wa sheria, kuimarisha utaratibu wa kuhakikisha utekelezaji wa sheria kuhusu haki za binadamu, na kukamilisha utaratibu wa utekelezaji wa haki za kutoa hukumu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako