• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa Baraza la mashauriano ya kisiasa la China kufunguliwa kesho

    (GMT+08:00) 2016-03-02 17:48:45

    Mkutano wa nne wa Baraza la 12 la mashauriano ya kisiasa la China utafunguliwa saa 9 kesho alasiri hapa Beijing.

    Wajumbe zaidi ya 2,000 kutoka kote nchini watasikiliza na kupitisha ripoti ya kazi ya kamati ya kudumu ya baraza hilo na ripoti kuhusu hali ya utoaji mapendekezo tangu mkutano wa tatu wa baraza hilo.

    Radio ya taifa ya China CNR, kituo cha televisheni cha taifa CCTV na Radio China Kimataifa CRI vitatangaza moja kwa moja ufunguzi wa mkutano huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako