• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa 4 wa bunge la 12 la umma la China kufunguliwa kesho

    (GMT+08:00) 2016-03-04 19:30:04

    Msemaji wa mkutano wa nne wa bunge la awamu ya 12 la umma la China Bibi Fu Ying leo asubuhi amesema, mkutano huo utafunguliwa kesho na kufungwa tarehe 16.

    Bibi Fu Ying amesema, ajenda tisa zitajadiliwa katika mkutano huo. Licha ya kupitisha ripoti 6 kama unavyofanya kila mwaka, mkutano huo pia utapitisha mwongozo wa mpango wa 13 wa maendeleo ya miaka 5 na mswada wa sheria ya hisani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako