• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkuu wa Benki kuu ya China asema China haitachochea ukuaji wa uchumi kwa kutegemea sera za kifedha

    (GMT+08:00) 2016-03-12 16:08:26

    Mkuu wa Benki kuu ya China Bw. Zhou Xiaochuan amesema, China haitachochea ongezeko la uchumi kwa kutegemea sera za kifedha.

    Bw. Zhou Xiaochuan amesema hayo kwenye mkutano na waandishi wa habari wa Mkutano wa nne wa Bunge la awamu ya 12 la umma la China. Amesisitiza kuwa, iwapo hayatatokea matukio makubwa ya kifedha nchini China au duniani, China itadumisha sera imara ya kifedha. Lakini kama misukosuko ya kifedha yakitokea, China itatekeleza sera nyumbufu ili kukabiliana na athari za misukosuko hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako