• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya kurefusha reli ya Mombasa-Nairobi hadi Malaba

    (GMT+08:00) 2016-03-24 09:35:39

    Baraza la mawaziri la Kenya limeidhinisha kurefusha reli ya Mombasa-Nairobi hadi Malaba kwenye mpaka wa magharibi mwa nchi hiyo kupitia mji wa Kisumu. Awali reli hiyo inayojengwa na Kampuni ya China ilipangwa kuanzia Mombasa hadi Nairobi, lakini imerefushwa hadi Naivasha. Benki ya Exim ya China ilichangia asilimia 90 ya sehemu ya kwanza ya mradi huo, na fedha zilizobaki zinatolewa na serikali ya Kenya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako