• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kampuni ya China yatoa ripoti kuhusu wajibu wake kwa jamii katika ujenzi wa mradi wa reli ya Mombasa-Nairobi

    (GMT+08:00) 2016-03-25 14:31:38

    Kampuni ya ujenzi wa barabara na madaraja ya China CRBC imetoa ripoti ya wajibu kwa jamii wa kampuni hiyo katika ujenzi wa mradi wa reli kati ya Mombasa na Nairobi. Hii ni mara ya kwanza kwa kampuni ya China kutoa ripoti kama hiyo.

    Ripoti hiyo imeeleza wajibu kwa jamii wa kampuni hiyo katika uhakikisho wa ubora wa kazi za ujenzi wa mradi, udhibiti wa usalama, uhifadhi wa mazingira, ufuatiliaji wa mahitaji ya wafanyakazi, ushirikiano na wakazi wa huko na shughuli za hisani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako