• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: wabunge wa zuia kodi iliokuwa itozwe kwa nguo za mtumba na saruji

    (GMT+08:00) 2016-04-18 19:43:35
    Bunge la uganda Alhamisi iliyopita lilikata pendekezo la kuongeza kodi kwenye nguo na viatu za mtumba, nepi za watoto, saruji na vibali vya kuendesha gari.

    Wabunge walisema hali ya umaskini na ukosefu wa ajira nchini itakuwa vigumu sana kwa watu.

    Serikali ya uganda ilikuwa inataka kuongeza kodi ya saruji na sh1,000 lakini wabunge walipinga uamuzi huo ili kukuza sekta ya ujenzi.

    uamuzi katika bunge wakukataa baadhi ya kodi kuongezwa unamaana kuwa serikali haitakusanya sh bilioni 100 kutoka kwa wananchi.

    Kodi ya nguo na viatu za mtumba ilikuwa iongezwe kutoka asilimia 15 hadi asilimia 17.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako