Katika sherehe kuu ilioandaliwa jijini London Uingereza ,Shirika la Ethiopia limepongezwa kwa upana wa huduma zake ikiwa sasa zinafika hadi Ulaya,Kaskazini Marekani,mashariki ya kati,Asia na Afrika.
Tewolde GebreMaria mkurugenzi wa shirika hillo anasema wamefurahia tuzo hiyo na watahakikisha wanaboresha huduma zao.
Tuzo hizi huteuliwa na wadau 18,000 wa sekta ya uchukuzi wa ndege.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |