• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yataka Japan ifuate sheria ya kimataifa kwa vitendo

    (GMT+08:00) 2016-05-24 17:52:52

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Hua Chunying amesema China inaitaka Japan ifuate kwa vitendo sheria ya kimataifa bila kuharibu maslahi ya jumuiya ya kimataifa.

    Bibi Hua amesema hayo baada ya mamlaka ya Taiwan kusema haina msimamo maalumu wa kisheria kuhusu kama mwamba wa Okinotorishima ni "mwamba" au "kisiwa", hatua ambayo imetajwa kama ni ya kurudi nyuma na inaweza kudhuru maslahi ya wavuvi wa Taiwan. Bibi Hua amesema mwamba wa Okinotorishima uko mbali na pwani ya Japani katika bahari ya Pasifiki magharibi, lakini Japan inadai kudhibiti eneo la bahari lenye kilomita za mraba laki 7 karibu na mwambo huo, hatua hiyo inaharibu vibaya maslahi ya jumuiya ya kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako