• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tamasha la kudumisha amani kati ya jamii za Marsabit lakamilika

    (GMT+08:00) 2016-05-25 10:25:51

    Tamasha la kitamaduni la jamii za Marsabit katika maeneo karibu na ziwa Turkana limekamilika rasmi mjini Marsabit huku viongozi na wazee katika jamii hizo wakitoa wito wa kudumishwa kwa amani na masikilizano kati ya jamii zao.

    Kaunti ya Marsabit ina jumla ya makabila 14 yanayoshikilia mila na tamaduni zao ikiwewo mila ya kuibiana mifugo. Hata hivyo tangu tamasha hili lianzishwe mwaka wa 2008 kutokana na ushauri wa ubalozi wa Ujerumani, hali ya utulivu imeanza kuimarika na hivi sasa jamii za hapa zinaishi katika hali ya amani na utulivu

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako