Alberto amesema, maendeleo ya uchumi wa China yatanufaisha uchumi wa duniani. Amesema, mkutano ujao wa kundi hilo utakaofanyika Septemba nchini China utashirikisha mashirika ya jadi ya kifedha na nchi zinazoibuka kiuchumi za BRICS, ambazo zinahimiza utaratibu mpya wa kiuchumi na kifedha duniani.
Ameongeza kuwa mkutano huo utaweka msisitizo kwenye uchumi badala ya masuala ya kisiasa.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |