• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mradi wa ujenzi wa reli ya kati wanufaisha wakenya wanaoishi maeneo reli inakopitia

  (GMT+08:00) 2016-06-16 10:06:03

  Asilimia 82 ya ujenzi wa mradi wa reli ya kati ya Kenya, kutoka Mombasa hadi Nairobi umekamilika. Mradi huo unaofadhiliwa na serikali ya China kwa gharama ya dola za kimarekani bilioni 3.8 unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu na reli hiyo kuanza kutumika mwezi Juni mwaka kesho.

  Moja ya miradi mikubwa ya ruwaza ya mwaka 2030 ya reli ya kati inayounganisha Mombasa na Nairobi kwa gharama ya Sh327 bilioni unakaribia kukamilika.

  Baadaye reli ya kati inatarajiwa kuunganisha mji wa Nairobi na Naivasha,na baadaye utaendelea hadi miji ya Kisumu na kwenda hadi Malaba katika mpaka wa Kenya na Uganda.

  Watu wanaoishi katika maeneo inakopita reli hiyo wateja kuanza kunufaika na reli hiyo kwenye kupata ajira hata huduma kutokana na reli hiyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako