• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Makundi 521 yapokea mafunzo ya kibiashara

    (GMT+08:00) 2016-06-23 20:05:28

    Halmshauri ya ustawi eneo la pwani CDA imetoa mafunzo ya kibiashara kwa makundi ya patayo 521 ya wafanyibiashara wadogo wadogo.

    Mradi huo unatekelezwa kupitia shirika la Kenya coast development project (KCDP).

    Akiongea wakati wa maonyesha ya biashara ndogo ndogo katika uwanja wa chuo kikuu cha pwani mjini Kilifi, bw keinan anasema kuwa tayari mafunzo hayo yameendelezwa katika kaunti zote sita za pwani.

    Hafla hiyo vile vile ilihudhuriwa na naibu wa gavana katika kaunti ya Kilifi bw: Kenneth kamto.

    Wafanyibiashara wadogo wadogo ambao wamepitia mafunzo hayo wameweza kuonyesha uwezo mkubwa katika kuendeleza biashara zao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako