• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali ya Kenya yaimiza ukumbatiaji wa ufugaji wa samaki

    (GMT+08:00) 2016-06-23 20:05:28

    Idara ya kilimo na uvuvi ya Kenya imeendeleza mradi wa kutia samaki wadogo kwenye mito katika kaunti ya Tharaka Nithi mashariki mwa Kenya,. Akizungumza na eradio China kimataifa, msiamizi wa idara hiyo kwenye kaunti ya Tharaka Nithi Bw Kenneth Mburia amesema lengo la mpango huo ni kuhakikisha kuwa wakazi wanatambua faida ya biashara ya kufuga samaki na pia faida zinazotokana na ulaji samaki.Bw Mburia ameongeza kuwa ufugaji wa samaki samaki unatazamiwa pia kuboresha uchumi pamoja na afya ya wakazi. Bw Mburia amesema wanalenga kuweka samaki wadogo elfu 10 aina ya tilapia kwa kila mto na tayari wameandaa mito 10 hadi kufikia hivi sasa. Hatua hiyo inakuja wakati ambapo serikali imekuwa ikiwaimiza wakenya umuhimu wa kufuga samaki kama kitega uchumi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako