• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • NASA imegundua kizingia giza cha hewa kwenye sayari ya Neptune kupitia darubini ya Hubble

    (GMT+08:00) 2016-06-29 10:55:09

    NASA imegundua kizingia giza cha hewa kwenye sayari ya Neptune kupitia darubini ya Hubble. Juu ya kizingia hiki kuna mawingu mengi meupe. Ingawa kizingia hicho kiliwahi kugunduliwa ambapo chombo cha uchunguzi wa safari ya anga ya juu cha "Voyager 2" kilipopita kwenye sayari ya Neptune mwaka 1989, na kuchunguzwa na darubini ya Hubble mwaka 1994, hii ni mara ya kwanza kwa kizingia hicho kuchunguzwa katika karne hii.

     

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako